UWANJANI ULAYA

UEFA CHAMPIONZ LIGI: CSKA Moscow 1 Real Madrid 1

Jumanne, 21 Februari 2012 21:59
Chapisha Toleo la kuchapisha

RATIBA/MATOKEO:

Jumanne Februari 21

CSKA Moscow 1 Real Madrid 1

[Saa 4 Dak 45 Usiku]

Napoli v Chelsea

TAARIFA:

Wakicheza ugenini huko Luzhniki Stadium iliyobanwa na kibaridi kikali kwenye mechi ya kwanza ya Raundi ya Mtoano, Cristiano Ronaldo alipachika bao Dakika ya 28 na kuwapa Real Madrid bao la kuongoza lakini katika zile Dakika 3 za nyongeza mwishoni mwa Dakika 90, CSKA Moscow walimudu kusawazisha kufuatia kizaazaa golini kwa bao la Pontus Wernbloom kutoka Sweden.

Vikosi:

CSKA Moscow: 1-Sergei Chepchugov; 24-Vasily Berezutsky, 4-Sergei Ignashevich, 6-Alexei Berezutsky, 42-Georgy Shchennikov; 3-Pontus Wernbloom, 22-Yevgeny Aldonin, 21-Zoran Tosic, 10-Alan Dzagoyev; 8-Seydou Doumbia, 18-Ahmed Musa.

Real Madrid: 1-Iker Casillas; 17-Alvaro Arbeloa, 3-Pepe, 4-Sergio Ramos, 15-Fabio Coentrao; 6-Sami Khedira, 14-Xabi Alonso; 10-Mesut Ozil, 21-Jose Callejon, 7-Cristiano Ronaldo; 9-Karim Benzema.

RATIBA:

Jumatano Februari 22

[Saa 4 Dak 45 Usiku]

Basel v Bayern Munich

Marseille v Inter Milan

Kutoa maoni

Tafadhali toa maoni sahihi kwa kutumia lugha ya heshima.


Security code
Onyesha tena

Ingia

Jiandikishe / Ingia

adidas

All Originals 300x250

MATANGAZO

Adidas Predator 300x250

TANGAZA HAPA