UWANJANI ULAYA

FA Cup: Spurs & Everton zasonga!

Jumamosi, 28 Januari 2012 09:46
Chapisha Toleo la kuchapisha

FA_CUP_LOGO_NEWKwenye mechi mbili za mtoano wa FA Cup zilizochezwa jana, Klabu za Everton na Tottenham zimefanikiwa kuingia Raundi ya Mtoano ya Timu 16 baada ya kushinda mechi zao.

Tottenham, wakicheza ugenini, walifanikiwa kuitoa Timu ya Daraja la chini Watford kwa bao 1-0 na bao hilo la ushindi kufungwa na Rafael van der Vaart kwa shuti la mbali.

Katika mechi hiyo, Tottenham ambao walitwaa FA Cup kwa mara ya mwisho Mwaka 1991, waliwapumzisha Gareth Bale, Ledley King na Aaron Lennon.

Nao Everton waliifunga Fulham bao 2-1 kwa bao za Marouane Fellaini na Denis Stracqualursi huku bao la Fulham likifungwa na Danny Murphy kwa penati.

Michuano hii ya FA Cup inaendelea leo na kesho Jumapili.

FA CUP

RATIBA KAMILI:

Jumamosi, Januari 28

[Saa 9 Mchana]

QPR v Chelsea

[Saa 9 Dak 45 Mchana]

Liverpool v Man United

[Saa 12 Jioni]

Blackpool v Sheffield Wed

Millwall v Southampton

Derby v Stoke

Hull v Crawley Town

Bolton v Swansea

Leicester v Swindon

Sheffield Utd v Birmingham

Stevenage v Notts County

West Brom v Norwich

[Saa 2 na Robo Usiku]

Brighton v Newcastle

Jumapili Januari 29

[Saa 10 na Nusu jioni]

Sunderland v Middlesbrough

[Saa 1 Usiku]

Arsenal v Aston Villa

=========

LIGI KUU England

RATIBA MECHI ZIJAZO:

Jumanne, 31 January 2012

[Saa 4 Dak 45 Usiku]

Swansea v Chelsea

Tottenham v Wigan

Wolverhampton v Liverpool

[Saa 5 Usiku]

Bolton v Arsenal

Man United v Stoke

Sunderland v Norwich

Jumatano, 1 February 2012

[Saa 4 Dak 45 Usiku]

Aston Villa v QPR

[Saa 5 Usiku]

Blackburn v Newcastle

Everton v Man City

Fulham v West Brom

Kutoa maoni

Tafadhali toa maoni sahihi kwa kutumia lugha ya heshima.


Security code
Onyesha tena

Ingia

Jiandikishe / Ingia

MATANGAZO

TANGAZA_BURE2
SOKAINBONGO_BANNER1