RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Februari 11
Manchester United 2 Liverpool 1
Bolton Wanderers 1 Wigan Athletic 2
Sunderland 1 Arsenal 2
Blackburn Rovers 3 QPR 2
Swansea City 2 Norwich City 3
Everton 2 Chelsea 0
Fulham 2 Stoke City 1
Saa 2 na Nusu Usiku
Tottenham v Newcastle United
+++++++
MSIMAMO:
1 Man United 58
2 Man City Pointi Pointi 57
3 Tottenham 50
4 Arsenal 43
-----------------------------------
5 Chelsea 43
6 Newcastle 42
7 Liverpool 39
+++++++
Taarifa:
Huko Goodison Park, Chelsea walijikuta wakichapwa bao 2-0 na Wenyeji Everton na baada ya Arsenal kuifunga ugenini Sunderland kwa bao 2-1 huku bao lao la pili na la ushindi likifungwa na ‘Mfalme’ Thierry Henry, limewafanya Arsenal waing’oe Chelsea toka nafasi ya 4 na kukamata wao.
Lakini ikiwa Newcastle, wanaocheza baadae leo ugenini huko White Hart Lane dhidi ya Tottenham, watashinda basi Newcastle atashika nafasi ya 4.
Bao za Everton zilizoiua Chelsea zilifungwa na Pienaar na Stracqualursi katika dakika za 5 na 71.
MECHI ZIJAZO:
Jumapili Februari 12
Saa 10 na Nusu Jioni
Wolves v West Bromwich
Saa 1 Usiku
Aston Villa v Man City