SOKA SPESHO

CARLING CUP=Nusu Fainali: Mechi za marudiano Jumanne na Jumatano

Jumanne, 24 Januari 2012 12:01
Chapisha Toleo la kuchapisha

RATIBA:

[Mechi zote Saa 4 Dak 45 Usiku]

Jumanne, Januari 24

Cardiff v Crystal Palace, (Jumla ya Magoli 0-1)

Jumatano, Januari25

Liverpool v Man City (Jumla ya Magoli 1-0)

TAARIFA:

Leo Usiku Cardiff City wanawakaribisha Crystal Palace huku wakitafuta mbinu ya kufuta kipigo cha bao 1-0 walichokipata toka kwa Crystal Palace Wiki mbili zilizopita katika mechi ya kwanza ya Nusu Fainali ya Carling ambayo mshindi wake atacheza na mshindi wa mechi kati ya Liverpool na Manchester City ambao nao wataudiana Uwanjani Anfield kesho usiku huku Liverpool akiwa mguu mmoja ndani ya Fainali baada ya kuichapa Man City bao 1-0 katika mechi ya kwanza iliyochezwa Uwanja wa Etihad.

Fainali ya Kombe hili itachezwa Uwanja wa Wembley Jijini London hapo Februari 26.

Kutoa maoni

Tafadhali toa maoni sahihi kwa kutumia lugha ya heshima.


Security code
Onyesha tena

Ingia

Jiandikishe / Ingia

MATANGAZO

TANGAZA_BURE2
SOKAINBONGO_BANNER1