MECHI ZA KIMATAIFA: Matokeo ya jana, leo ni vigogo dimbani!

Wednesday, 09 February 2011 18:32
Print PDF

friendly_fifa_logoMATOKEO:

Jumanne Februari 8

Cyprus 0 Sweden 2   

Ivory Coast 1 Mali 0   

Romania 2 Ukraine 2 [Penati Ukraine 4 Romania 2]

Ghana 4 Togo 1   

Peru 1 Panama 0

TATHMINI MECHI ZA LEO:

Denmark v England

Leo Meneja wa England Fabio Capello anategemewa kumuanzisha Chipukizi wa Arsenal Jack Wilshere. Miaka 19, katika mechi ya kirafiki watakayocheza ugenini huko Copenhagen na Timu ya Denmark.

England itaongozwa na kaimu Nahodha Frank Lampard baada ya Nahodha Rio Ferdinand na Msaidizi wake Steven Gerard wote kukosekana baada ya kuumia.

Denmark itakuwa na Wachezaji kaadhaa wanaocheza Ligi Kuu England na wengine waliowahi kuicheza wakiwemo Kipa wa Stoke Thomas Sorensen, Wachezaji wa Liverpool Daniel Agger na Christian Poulsen, Mchezaji wa Olympiakos ambae zamani alikuwa Charlton Winga Dennis Rommedahl na Straika wa Arsenal Nicklas Bendtner.

Denmark inaongozwa na Kocha wa muda mrefu Morten Olsen ambae yupo kibaruani tangu Mwaka 2000

Vikosi vinategemewa kuwa:

Denmark: Sorensen, Jacobsen, Agger, Kjaer, S.Poulsen, Rommedahl, C.Poulsen, Kvist, Eriksen, Pedersen, Bendtner.

England: Hart, Johnson, Terry, Lescott, A.Cole, Walcott, Lampard, Wilshere, Milner, Bent, Rooney.

France v Brazil

Hii ni mechi ya kirafiki itayosaidia kujipima ni mafanikio gani yamefikiwa tangu Nchi hizi kuaibishwa Mwaka jana kwenye Fainali za Kombe la Dunia huko Afrika Kusini.

Brazil, ambao ni Mabingwa mara 5 wa Kombe la Dunia, walitolewa Robo Fainali ya Kombe la Dunia na Uholanzi wakati Ufaransa hata Raundi ya Pili hawakuinusa.

Timu zote sasa zina Makocha wapya na Ufaransa ipo chini ya Laurent Blanc ambae alizungumzia mechi ya leo kwa kusema: “Brazil wanatukumbusha wakati wetu wa neema tulipotwa Ubingwa wa Dunia tulipowafunga Mwaka 1998. Lakini leo tunajenga Timu yetu.”

Brazil, chini ya Kocha mpya Mano Menezes, imeteua Wachezaji wanaocheza Ligi za Ulaya kwa ajili ya mechi hii.

Miongoni mwao wapo Anderson na Rafael wa Manchester United.

Germany v Italy

Leo Italy huenda ikamchezesha kwa mara ya kwanza mzawa wa Brazil Kiungo Thiago Motta katika mechi ya kirafiki na Germany.

Mchezaji huyo wa Inter Milan aliichezra Brazil ya Vijana wa Chini ya Miaka 23 Mwaka 2003 lakini anaruhusiwa kuchezea Italy kwa vile hakuchezea Timu ya kwanza na pia Babu yake ni Mtaliana.

Mara ya mwisho kwa Timu hizi kukutana ni kwenye Kombe la Dunia la Mwaka 2006 kwenye Nusu Fainali waliyoshinda Italy 2-0 na baadae kutinga Fainali na kuutwaa Ubingwa wa Dunia.

Vikosi vinategemewa kutokana na:

Italy:

Makipa: Gianluigi Buffon, Salvatore Sirigu, Emanuele Viviano.

Mabeki: Davide Astori, Leonardo Bonucci, Mattia Cassani, Giorgio Chiellini, Domenico Criscito, Christian Maggio, Andrea Ranocchia.

Viungo: Alberto Aquilani, Daniele De Rossi, Sebastian Giovinco, Stefano Mauri, Riccardo Montolivio, Thiago Motta, Antonio Nocerino, Angelo Palombo.

Mastraika: Marco Borriello, Antonio Cassano, Alessandro Matri, Giampaolo Pazzini, Giuseppe Rossi.

Germany:

Makipa: Manuel Neuer, Rene Adler.

Walinzi: Dennis Aogo, Per Mertesacker, Philipp Lahm, Holger Badstuber, Jerome Boateng, Mats Hummels, Arne Friedrich, Heiko Westermann, Marcel Schmelzer.

Viungo: Bastian Schweinsteiger, Sami Khedira, Mesut Ozil, Christian Traesch, Mario Goetze, Sven Bender, Kevin Grosskreutz.

Mastraika: Miroslav Klose, Mario Gomez, Thomas Mueller, Lukas Podolski.

RATIBA:

Jumatano, Februari 9

Taifa Stars v Palestina

Scotland v Northern Ireland

Andorra v Moldova

Armenia v Georgia

Belarus v Kazakhstan

Greece v Canada

Iran v Russia

Latvia v Bolivia

Turkey v South Korea

FYR Macedonia v Cameroon

Croatia v Czech Republic

Azerbaijan v Hungary

Egypt v USA

Israel v Serbia

South Africa v Burkina Faso

Albania v Slovenia

Estonia v Bulgaria

Denmark v England [Saa 4 na robo usiku]

Luxembourg v Slovakia

Belgium v Finland

Malta v Switzerland30

Netherlands v Austria

Poland v Norway

Germany v Italy

Argentina v Portugal

France v Brazil

Spain v Colombia

Alhamisi, Februari 10

Mexico v Bosnia-Hercegovina

Honduras v Ecuador

Kutoa maoni

Tafadhali toa maoni sahihi kwa kutumia lugha ya heshima.


Security code
Onyesha tena

Ingia

Jiandikishe / Ingia

LIGI KUU ENGLAND

matches
 
standings
  team points games goals
1. Arsenal 0 0 0 - 0
2. Aston Villa 0 0 0 - 0
3. Chelsea 0 0 0 - 0
4. Everton 0 0 0 - 0
5. Liverpool 0 0 0 - 0
6. Man. City 0 0 0 - 0
7. Man. United 0 0 0 - 0
8. Newcastle Utd 0 0 0 - 0
9. Sunderland 0 0 0 - 0
10. Tottenham 0 0 0 - 0
11. West Ham 0 0 0 - 0
12. Burnley 0 0 0 - 0
13. Crystal Palace 0 0 0 - 0
14. Hull City 0 0 0 - 0
15. Leicester 0 0 0 - 0
16. QPR 0 0 0 - 0
17. Southampton FC 0 0 0 - 0
18. Stoke City 0 0 0 - 0
19. West Bromwich 0 0 0 - 0
20. Swansea 0 0 0 - 0
<
 
Up
 
Down
 
>
Results powered by xmlscores.com

MATANGAZO

DSTV2
Web Hosting

SEP11

TANZANIA_50
RAMADANKAREEM2014

MATANGAZO

Web Hosting

SEP11

KIUNGO MKABAJI

SEP12

TANGAZA HAPA

SEP11

TANZANIA_50
RAMADANKAREEM2014

MATANGAZO

SOKAINBONGO_BANNER1
SuperSport_Summer-Football-Blog-Ad950pixelsx303pixels
SuperSport_Summer-Football-Blog-Ad950pixelsx303pixels
BPL-BANNER
UCL-BANNER
MAN_UNITED-SOKAINBONGO_BANNER
SIB-WORLD_CUP_BANNER