Msimamo Wa Ligi

OLIMPIKI 2012

Jumatano, 09 Mei 2012 16:57
Chapisha Toleo la kuchapisha

LONDON_OLYMPIC_LOGOOLIMPIKI LONDON 2012: 25 JULAI-12 AGOSTI

MASHINDANO YA SOKA:

MAKUNDI:

WANAUME:

KUNDI A: Great Britain, Senegal, United Arab Emirates, Uruguay

KUNDI B: Mexico, South Korea, Gabon, Switzerland

KUNDI C: Brazil, Egypt, Belarus, New Zealand

KUNDI D: Spain, Japan, Honduras, Morocco

WANAWAKE:

KUNDI E: Great Britain, New Zealand, Cameroon, Brazil

KUNDI F: Japan, Canada, Sweden, South Africa

KUNDI G: USA, France, Colombia, Korea DPR

TAARIFA:

Michezo ya Olimpiki ya Mwaka 2012 itachezwa huko Uingereza na leo imefanyika Droo ya kupanga Makundi na Mechi za Soka kwa Mashindano ya Wanaume na Wanawake.

Droo hiyo ilisimamiwa na Mchezaji mashuhuri wa zamani wa England, Gary Lineker, wakati Nguli wa Brazil, Ronaldo, na Mwimbaji mashuhuri, Melanie C, wakiokota majina ya Timu kwenye Makapu.

Mashindano ya Olimpiki yataanza hapo Tarehe 25 Julai na kumalizika Agosti 12.

VIWANJA VITAVYOCHEZEWA MECHI ZA SOKA:

-Hampden Park (Glasgow)

-Sports Direct Arena [Kwa sababu za udhamini, Uwanja utaitwa Jina lake la zamani-St James' Park] (Newcastle)

-Old Trafford (Manchester),

-City of Coventry Stadium

-Millennium Stadium (Cardiff)

-Wembley (London).

OLIMPIKI_SOKA_VENUES

WANAUME:

Alhamisi, Julai 26

KUNDI D

Spain v Japan, Glasgow (Saa 7 Mchana)

Honduras v Morocco, Glasgow (Saa 9 Dak 45 Mchana)

KUNDI B

Mexico v South Korea, Newcastle (Saa 9 na Nusu Mchana)

Gabon v Switzerland, Newcastle (Daa 12 na Robo Jioni)

KUNDI A

United Arab Emirates v Uruguay, Manchester (Saa 12 Jioni)

Britain v Senegal, Manchester (Saa 2 Dak 45 Usiku)

KUNDI C

Brazil v Egypt, Cardiff (Saa 2 Dak 45 Usiku)

Belarus v New Zealand, Coventry (Saa 2 Dak 45 Usiku)

Jumapili, Julai 29

KUNDI C

Brazil v Belarus, Manchester (Saa 7 Mchana)

Egypt v New Zealand, Manchester (Saa 9 Dak 45 Mchana)

KUNDI B

Mexico v Gabon, Coventry (Saa 9 na Nusu Mchana)

South Korea v Switzerland, Coventry (Saa 12 na Robo Jioni)

KUNDI A

Senegal v Uruguay, Wembley (Saa 12 Jioni)

Britain v United Arab Emirates, Wembley (Saa 2 Dak 45 Usiku)

KUNDI D

Spain v Honduras, Newcastle (Saa 12 Jioni)

Japan v Morocco, Newcastle (Saa 2 Dak 45 Usiku)

Jumatano Agosti 1

KUNDI C

Brazil v New Zealand, Newcastle (Saa 9 na Nusu Mchana)

Egypt v Belarus, Glasgow (Saa 9 na Nusu Mchana)

KUNDI D

Spain v Morocco, Manchester (Saa 12 Jioni)

Japan v Honduras, Coventry (Saa 12 Jioni)

KUNDI B

Mexico v Switzerland, Cardiff (Saa 12 Jioni)

South Korea v Gabon, Wembley (Saa 12 Jioni)

KUNDI A

Senegal v United Arab Emirates, Coventry (Saa 2 Dak 45 Usiku)

Britain v Uruguay, Cardiff (Saa 2 Dak 45 Usiku)

ROBO FAINALI

Jumamosi Agosti 4

Mechi Namba 25: Mshindi D v Wa Pili C, Manchester (Saa 7 Mchana)

Mechi Namba 26: Mshindi B v Wa pili A, Wembley (Saa 9 na Nusu Mchana)

Mechi Namba 27: Mshindi C v Wa Pili D, Newcastle (Saa 12 Jioni)

Mechi Namba 28: Mshindi A v Wa Pili B, Cardiff (Saa 2 na Nusu Usiku)

NUSU FAINALI

Jumanne Agosti 7

Mshindi 26 v Mshindi 25, Wembley (Saa 12 Jioni)

Mshindi 28 v Mshindi 27, Manchester (Saa 2 Dak 45 Usiku)

MSHINDI WA TATU

Friday, Aug. 10 in Cardiff (Saa 2 Dak 45 Usiku)

FAINALI

Saturday, Aug. 11 at Wembley (Saa 10 Jioni)

WANAWAKE:

Jumatano Julai 25

KUNDI E

Britain v New Zealand, Cardiff (Saa 11 Jioni)

Cameroon v Brazil, Cardiff (Saa 1 Dak 45 Usiku)

KUNDI F

Japan v Canada, Coventry (Saa 12 Jioni)

Sweden v South Africa, Coventry (Saa 2 Dak 45 Usiku)

KUNDI G

United States v France, Glasgow (Saa 12 Jioni)

Colombia v North Korea, Glasgow (Saa 2 Dak 45 Usiku)

Jumamosi Julai 28

KUNDI F

Japan v Sweden, Coventry (Saa 7 Mchana)

Canada v South Africa, Coventry (Saa 9 Dak 45 Mchana)

KUNDI E

New Zealand v Brazil, Cardiff (Saa 9 na Nusu Mchana)

Britain v Cameroon, Cardiff (Saa 12 na Robo Jioni)

KUNDI F

United States v Colombia, Glasgow (Saa 12 Jioni)

France v North Korea, Glasgow (Saa 2 Dak 45 Usiku)

Jumanne Julai 31

KUNDI F

Canada v Sweden, Manchester (Saa 9 na Nusu Mchana)

Japan v South Africa, Cardiff (Saa 9 na Nusu Mchana)

KUNDI G

United States v North Korea, Manchester (Saa 12 na Robo Jioni)

France v Colombia, Newcastle (Saa 12 na Robo Jioni)

KUNDI E

New Zealand v Cameroon, Coventry (Saa 2 Dak 45 Usiku)

Britain v Brazil, Wembley (Saa 2 Dak 45 Usiku)

FAHAMU: Timu mbili za juu toka kila Kundi na mbili zitakazoshika nafasi ya 3 bora zitatinga Robo Fainali.

ROBO FAINALI

Ijumaa Agosti 3

Mechi Namba 19: Mshindi F v Wa Pili G, Glasgow (Saa 7 Mchana)

Mechi Namba 20: Nshindi G v Wa Tatu E/F, Newcastle (Saa 9 na Nusu Mchana)

Mechi Namba 21: Mshindi E v Wa Pili F, Cardiff (Saa 12 Jioni)

Mechi Namba 22: Mshindi E v Wa Tatu F/G, Coventry (Saa 2 na Nusu Usiku)

NUSU FAINALI

Jumatatu Agosti 6

Mshindi 19 v Mshindi 21, Wembley (Saa 12 Jioni)

Mshindi 22 v Mshindi 20, Manchester (Saa 2 Dak 45 Usiku)

MSHINDI wa TATU

Alhamisi Agosti 9 (Saa 8 Mchana)

FAINALI

Alhamisi Agosti 9 Wembley (Saa 2 Dak 45 Usiku)

 

EURO 2012-RATIBA & MATOKEO

Jumatano, 04 Januari 2012 18:16
Chapisha Toleo la kuchapisha

EURO_2012_LOGOEURO 2012:

UEFA imetangaza Ratiba ya mechi za Fainali za EURO 2012 ambayo ni Mashindano rasmi ya kutafuta Nchi Bingwa Barani Ulaya yatakayochezwa huko Nchini Poland na Ukraine ambao ni Wenyeji wa pamoja.

Mashindano hayo, ambapo Nchi zimepangwa katika Makundi manne ili kutoa Nchi mbili kila Kundi kuingia Robo Fainali, yataanza rasmi kwa mechi ya ufunguzi hapo Ijumaa Juni 8 huko Mjini Warsaw, Poland kati ya Poland na Greece.

Mechi ya Fainali itachezwa huko Kiev, Ukraine hapo Jumapili Julai 1.

MAKUNDI

KUNDI A

Poland, Greece, Russia, Czech Republic

KUNDI B

Holland, Denmark, Germany, Portuga

KUNDI C

Spain, Italy, Republic of Ireland, Croatia

KUNDI D

Ukraine, Sweden, France, England

MIJI MECHI ZITAPOCHEZWA:

Nchini Poland:EURO_2012_VENUES

-Warsaw

-Wroclaw

-Gdansk

-Poznan

Nchini Ukraine:

-Kiev

-Kharkiv

-Lviv

-Donetsk

RATIBA KAMILI:

Ijumaa, Juni 8

[Warsaw, Poland]

Saa 2 Usiku

Poland v Greece

Wroclaw, Poland

Saa 4 Dak 45 Usiku

Russia v Czech Republic

-----------------------

Jumamosi, Juni 9

Kharkiv, Ukraine

Saa 2 Usiku

Holland v Denmark

Lviv, Ukraine

Saa 4 Dak 45 Usiku

Germany v Portugal

----------------------

Jumapili, Juni 10

Gdansk, Poland

Saa 2 Usiku

Spain v Italy

Poznan, Poland

Saa 4 Dak 45 Usiku

Republic of Ireland v Croatia

---------------------

Jumatatu, Juni 11

Donetsk, Ukraine

[Saa 2 Usiku]

France v England

Kiev, Ukraine

Saa 4 Dak 45 Usiku

Ukraine v Sweden

----------------------

Jumanne, Juni 12

Wroclaw, Poland

Saa 2 Usiku

Greece v Czech Republic

Warsaw, Poland

Poland v Russia

--------------------------

Jumatano, Juni 13

Lviv, Ukraine

Saa 2 Usiku

Denmark v Portugal

Kharkiv, Ukraine

Saa 4 Dak 45 Usiku

Holland v Germany

------------------------

Alhamisi, Juni 14

Poznan, Poland

Saa 2 Usiku

Italy v Croatia

Gdansk, Poland

Saa 4 Dak 45 Usiku

Spain v Republic of Ireland

----------------------

Ijumaa, Juni 15

Kiev, Ukraine

Saa 2 Usiku

Sweden v England)

Donetsk, Ukraine

Saa 4 Dak 45 Usiku

Ukraine v France

----------------------

Jumamosi, Juni 16

Wroclaw, Poland

Saa 4 Dak 45 Usiku

Czech Republic v Poland

Warsaw, Poland

Saa 4 Dak 45 Usiku

Greece v Russia

---------------------

Jumapili, Juni 17

Kharkiv, Ukraine

Saa 4 Dak 45 Usiku

Portugal v Holland

Lviv, Ukraine

Saa 4 Dak 45 Usiku

Denmark v Germany

---------------------

Jumatatu, Juni 18

Gdansk, Poland

Saa 4 Dak 45 Usiku

Croatia v Spain

Poznan, Poland

Saa 4 Dak 45 Usiku

Italy v Republic of Ireland

-------------------------

Jumanne, Juni 19

Donetsk, Ukraine

Saa 4 Dak 45 Usiku

England v Ukraine

Kiev, Ukraine

Saa 4 Dak 45 Usiku

Sweden v France

------------------------

ROBO FAINALI

[Mechi zote Saa 4 Dak 45 Usiku]

Alhamisi Juni 21

RF1: Warsaw, Poland: Mshindi A v Mshindi wa Pili B

Ijumaa Juni 22

RF2: Gdansk, Poland: Mshindi B v Mshindi wa Pili A

Jumamosi Juni 23

RF3: Donetsk, Ukraine: Mshindi C v Mshindi wa Pili D

Jumapili Juni 24

RF4: Kiev, Ukraine: Mshindi D v Mshindi wa Pili C

NUSU FAINALI

Jumatano Juni 27

NF1: Donetsk, Ukraine: RF1 v RF3

Alhamisi Juni 28

NF2: Warsaw, Poland: RF2 v RF4

FAINALI

Jumapili Julai 1

Kiev, Ukraine: NF1 v NF2
 

AFCON 2013-RATIBA & MATOKEO

Jumatano, 04 Januari 2012 16:38
Chapisha Toleo la kuchapisha

CAF imetoa Ratiba ya Mechi za kutafuta Nchi 15 zitakazoingia Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazochezwa Mwaka 2013 huko Afrika Kusini na Tanzania imepangwa kucheza na Msumbiji kwenye Raundi ya Pili ya Mchujo.

Raundi ya Pili ya Mchujo itatoa Timu 14 zitakazosonga Raundi ya Mwisho ambayo pia itajumuisha Nchi 16 zilizoshiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika za 2012 huko Equatorial Guinea na Gabon kuanzia Januari 21.

Raundi ya Mwisho itajumuisha Timu 30 zitakazopangwa katika Mechi 15 zitakazochezwa nyumbani na ugenini na Washindi 15 watajumuika na Wenyeji Afrika Kusini kucheza Fainali.

Kawaida Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika huchezwa kila baada ya Miaka miwili lakini CAF iliamua kuwa baada ya Fainali za 2012 Mashindano hayo yasiwe yanachezwa Mwaka mmoja na Fainali za Kombe la Dunia.

Fainali zijazo za Kombe la Dunia ni Mwaka 2014 huko Brazil, 2018 huko Urusi na 2022 huko Qatar na CAF itakuwa ikifanya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Mwaka 2013 huko Afrika Kusini na Fainali zitakazofuata zitakuwa 2015, 2017, 2019, 2021 na kadhalika.

Jumla ya Nchi 46 zitashiriki kinyang’anyiro hicho ili kupata Nchi 15 kujumuika na Wenyeji Afrika Kusini kwenye Fainali.

TAREHE ZA MECHI:

-RAUNDI YA 1: 6-8 Januari 2012 na marudiano 20-22 Januari

-RAUNDI YA 2: 29 Februari 2012 na marudiano 15-17 Juni 2012

-RAUNDI YA 3: 7-9 Septemba 2012 na marudiano 12-14 Oktoba 2012

RATIBA:

Raundi ya Kwanza ya Mchujo:

Seychelles v Swaziland [Swaziland walijitoa]

Sao Tome 1 Lesotho 0 [Mechi Namba 2]

Lesotho 0 Sao Tome 0 [Sao Tome wasonga]

Raundi ya Pili ya Mchujo:

[Mechi kuchezwa Tarehe 29 Februari na marudiano ni Juni 15]

Ethiopia 0 Benin 0

Rwanda 0 Nigeria 0

Congo 3 Uganda 1

Burundi 2 Zimbabwe 1

Kenya 2 Togo 1

Sao Tome 0 Sierra Leone 0

Chad 3 Malawi 2

Seychelles 0 DR  Congo 4

Tanzania 1 Mozambique 1

Central Africa v Egypt [IMEAHIRISHWA]

Madagascar 0 Cape Verde 4

Liberia 1 Namibia 0

Gambia 1 Algeria 2

Guinea Bissau 0 Cameroon 1

[Marudiano Juni 15]


 

LIGI KUU VODACOM

Alhamisi, 23 Juni 2011 23:59
Chapisha Toleo la kuchapisha

VODAcom_na_kabumbu_lianze


 

LIGI KUU VODACOM

=====BINGWA==SIMBA====

MATOKEO:

Jumapili Mei 6===MECHI ZA MWISHO za LIGI

Simba 5 Yanga 0

Oljoro JKT 2 Polisi Dodoma 1

Ruvu Shooting 1 Villa Squad 2

Coastal Union 1 Toto African 0

African Lyon 2 JKT Ruvu 0

Azam 2 Kagera Sugar 1

Moro United 0 Mtibwa Sugar 1

ZIMESHUSHWA DARAJA:

-Moro United

-Villa Squad

-Polisi Dodoma

ZIMEPANDA DARAJA:

-Mgambo Shooting Stars [Tanga]

-Polisi Morogoro

-Tanzania Prisons [Mbeya]

VPL_FINAL_STANDING

 

RATIBA & MATOKEO

Jumatano, 06 Oktoba 2010 23:26
Chapisha Toleo la kuchapisha

LIGI_KUURATIBA LIGI KUU ENGLAND


RATIBA:

Jumapili Mei 13===MECHI za MWISHO za LIGI

[Saa 11 Jioni]

Chelsea v Blackburn

Everton v Newcastle

Man City v QPR

Norwich v Aston Villa

Stoke v Bolton

Sunderland v Man United

Swansea v Liverpool

Tottenham v Fulham

West Brom v Arsenal

Wigan v Wolves

MSIMAMO:

[Kila Timu imecheza Mechi 37, kwenye Mabano Tofauti ya Magoli]

1 Man City Pointi 86 [63]

2 Man United 86 [55]

3 Arsenal 67 [24]

4 Tottenham 66 [23]

-------------------------------------

5 Newcastle 65 [7]

6 Chelsea 61 [21]

7 Everton 53 [8]

8 Liverpool 52 [8]

9 Fulham 52 [-1]

10 WBA 47 [-6]

11 Sunderland 45 [0]

12 Swansea 44 [-8]

13 Norwich 44 [-16]

14 Stoke 44 [-17]

15 Wigan 40 [-21]

16 Aston Villa 38 [-14]

17 QPR 37 [-22]

--------------------------------------------------------

18 Bolton 35 [-31]

19 Blackburn 31 [-29] ==IMESHUSHWA DARAJA

20 Wolves 25==IMESHUSHWA DARAJA

===============

 

RATIBA & MATOKEO

Jumatano, 06 Oktoba 2010 19:40
Chapisha Toleo la kuchapisha

BUNDESLIGA_LOGO

BUNDESLIGA DARAJA LA 1 MSIMU 2011/12

BINGWA NI BORUSSIA DORTMUND!!!!!!!

 


Ingia

Jiandikishe / Ingia

adidas

All Originals 300x250

MATANGAZO

TANGAZA HAPA

All Originals 728x90