Ligi Kuu England

Mabingwa Man United wakaa kileleni!

Jumamosi, 11 Februari 2012 17:54
Chapisha Toleo la kuchapisha

MAN_UNITED_v_LIVERPOOL-11FEB12Man United 2 Liverpool 1

Bao mbili za Wayne Rooney katika dakika ya 47 na 50 yamewapa Manchester United ushindi wa bao 2-1 walipowachapa wapinzani wao wakubwa Uwanjani Old Trafford na kutwaa uongozi wa Ligi Kuu England wakiwa pointi moja mbele ya Mahasimu wao wengine Man City ambao kesho wako ugenini kucheza na Aston Villa.ROONEY_AKIPIGA_BAO_LA_PILI

+++++++

MSIMAMO:

1 Man United 58

2 Man City Pointi Pointi 57

3 Tottenham 50

4 Chelsea 43

-----------------------------------

5 Newcastle 42

6 Arsenal 40

7 Liverpool 39

+++++++

SUAREZ_V_EVRA12Mechi hii iligubikwa na mzozo uliohusu Straika wa Liverpool Luis Suarez kufungiwa mechi 8 kwa kumtukana kibaguzi Patrice Evra katika mechi yao ya kwanza ya Ligi na leo ilikuwa mara ya kwanza kwa Suarez kukutana uso kwa uso na Evra lakini inaelekea Suarez bado anataka kuendelea na bifu hilo pale alipokataa kumpa mkono Evra kabla mechi kuanza licha ya Evra kumshika mkono na hilo lilimfanya Rio Ferdinand akatae kumpa mkono Suarez.

Bao la Liverpool lilifungwa na Suarez katika Dakika ya 80.

Vikosi:

Man United De Gea; Rafael, Ferdinand, Evans, Evra; Valencia, Carrick, Scholes, Giggs; Rooney, Welbeck

Akiba: Amos, Fabio, Cleverley, Park, Pogba, Berbatov, Hernandez

Liverpool: Reina, Johnson, Skrtel, Agger, Jose Enrique, Spearing, Henderson, Kuyt, Gerrard, Downing, Suarez
Akiba: Doni, Carroll, Carragher, Adam, Shelvey, Kelly, Bellamy.

Refa: Phil Dowd

RATIBA/MATOKEO:

Jumamosi Februari 11

Manchester United 2 Liverpool 1

Saa 12 Jioni

Bolton Wanderers v Wigan Athletic

Sunderland v Arsenal

Blackburn Rovers v QPR

Swansea City v Norwich City

Everton v Chelsea

Fulham v Stoke City

Saa 2 na Nusu Usiku

Tottenham v Newcastle United

 

Kutoa maoni

Tafadhali toa maoni sahihi kwa kutumia lugha ya heshima.


Security code
Onyesha tena

Ingia

Jiandikishe / Ingia

adidas

All Originals 300x250

MATANGAZO

TANGAZA HAPA