DABI ya Manchester yabadilishwa Ratiba!
Jumatano, 22 Februari 2012 17:32
Dabi hiyo ya Manchester, ambayo awali ilikuwa ichezwe Aprili 28, sasa itachezwa Jumatatu Aprili 30 kuanzia Saa 4 Usiku, Bongo Taimu. Mechi nyingine za Mabingwa hao zilizokumbwa na panga pangua hiyo ni pamoja na mechi za nyumbani dhidi ya QPR, Aston Villa na Everton. Mechi nyingine iliyobadilishwa ni ile ya ugenini na Wigan. Pia, mechi ya Man United Uwanjani Old Trafford hapo Jumamosi Machi 10 dhidi ya West Brom huenda ikabadilika ikiwa Man United watafuzu kuingia Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya EUROPA LIGI. RATIBA Iliyobadilika kwa Aprili ni: Jumapili Aprili 8 Man United v QPR [Saa 9 na Nusu Mchana] Jumatano Aprili 11 Wigan v Man United [Saa 3 Dak 45 Usiku] Jumapili Aprili 15 Man United v Aston Villa [Saa 12 Jioni] Jumapili Aprili 22 Man United v Everton [Saa 8 na Nusu mchana] Jumatatu Aprili 30 Man City v Man United [Saa 4 Usiku] Kutoa maoni
|
|
|
|
|
Makala zaidi...
|
|
|
|
|
| Page 1 of 135 |
