EURO 2012-RATIBA & MATOKEO
Jumatano, 04 Januari 2012 18:16
UEFA imetangaza Ratiba ya mechi za Fainali za EURO 2012 ambayo ni Mashindano rasmi ya kutafuta Nchi Bingwa Barani Ulaya yatakayochezwa huko Nchini Poland na Ukraine ambao ni Wenyeji wa pamoja. Mashindano hayo, ambapo Nchi zimepangwa katika Makundi manne ili kutoa Nchi mbili kila Kundi kuingia Robo Fainali, yataanza rasmi kwa mechi ya ufunguzi hapo Ijumaa Juni 8 huko Mjini Warsaw, Poland kati ya Poland na Greece. Mechi ya Fainali itachezwa huko Kiev, Ukraine hapo Jumapili Julai 1. MAKUNDI KUNDI A Poland, Greece, Russia, Czech Republic KUNDI B Holland, Denmark, Germany, Portuga KUNDI C Spain, Italy, Republic of Ireland, Croatia KUNDI D Ukraine, Sweden, France, England MIJI MECHI ZITAPOCHEZWA: Nchini Poland: -Warsaw -Wroclaw -Gdansk -Poznan Nchini Ukraine: -Kiev -Kharkiv -Lviv -Donetsk RATIBA KAMILI: Ijumaa, Juni 8 [Warsaw, Poland] Saa 2 Usiku Poland v Greece Wroclaw, Poland Saa 4 Dak 45 Usiku Russia v Czech Republic ----------------------- Jumamosi, Juni 9 Kharkiv, Ukraine Saa 2 Usiku Holland v Denmark Lviv, Ukraine Saa 4 Dak 45 Usiku Germany v Portugal ---------------------- Jumapili, Juni 10 Gdansk, Poland Saa 2 Usiku Spain v Italy Poznan, Poland Saa 4 Dak 45 Usiku Republic of Ireland v Croatia --------------------- Jumatatu, Juni 11 Donetsk, Ukraine [Saa 2 Usiku] France v England Kiev, Ukraine Saa 4 Dak 45 Usiku Ukraine v Sweden ---------------------- Jumanne, Juni 12 Wroclaw, Poland Saa 2 Usiku Greece v Czech Republic Warsaw, Poland Poland v Russia -------------------------- Jumatano, Juni 13 Lviv, Ukraine Saa 2 Usiku Denmark v Portugal Kharkiv, Ukraine Saa 4 Dak 45 Usiku Holland v Germany ------------------------ Alhamisi, Juni 14 Poznan, Poland Saa 2 Usiku Italy v Croatia Gdansk, Poland Saa 4 Dak 45 Usiku Spain v Republic of Ireland ---------------------- Ijumaa, Juni 15 Kiev, Ukraine Saa 2 Usiku Sweden v England) Donetsk, Ukraine Saa 4 Dak 45 Usiku Ukraine v France ---------------------- Jumamosi, Juni 16 Wroclaw, Poland Saa 4 Dak 45 Usiku Czech Republic v Poland Warsaw, Poland Saa 4 Dak 45 Usiku Greece v Russia --------------------- Jumapili, Juni 17 Kharkiv, Ukraine Saa 4 Dak 45 Usiku Portugal v Holland Lviv, Ukraine Saa 4 Dak 45 Usiku Denmark v Germany --------------------- Jumatatu, Juni 18 Gdansk, Poland Saa 4 Dak 45 Usiku Croatia v Spain Poznan, Poland Saa 4 Dak 45 Usiku Italy v Republic of Ireland ------------------------- Jumanne, Juni 19 Donetsk, Ukraine Saa 4 Dak 45 Usiku England v Ukraine Kiev, Ukraine Saa 4 Dak 45 Usiku Sweden v France ------------------------ ROBO FAINALI [Mechi zote Saa 4 Dak 45 Usiku] Alhamisi Juni 21 RF1: Warsaw, Poland: Mshindi A v Mshindi wa Pili B Ijumaa Juni 22 RF2: Gdansk, Poland: Mshindi B v Mshindi wa Pili A Jumamosi Juni 23 RF3: Donetsk, Ukraine: Mshindi C v Mshindi wa Pili D Jumapili Juni 24 RF4: Kiev, Ukraine: Mshindi D v Mshindi wa Pili C NUSU FAINALI Jumatano Juni 27 NF1: Donetsk, Ukraine: RF1 v RF3 Alhamisi Juni 28 NF2: Warsaw, Poland: RF2 v RF4 FAINALI Jumapili Julai 1 Kiev, Ukraine: NF1 v NF2 Kutoa maoni
|
|
|