RATIBA:
Januari 29
KUNDI A
Equatorial Guinea 0 Zambia 1
Libya 2 Senegal 1
TIMU ZILIZOTINGA ROBO FAINALI:
-KUNDI A: Zambia & Equatorial Guinea
-KUNDI B: Ivory Coast
-KUNDI C: Gabon & Tunisia
-KUNDI D: Nani wawili kati ya Ghana, Mali, Botswana na Sudan?
TAARIFA:
Zambia jana ilifanikiwa kuwafunga Wenyeji Equatorial Guinea bao 1-0, kwa bao la Nahodha wao Chris Katongo, katika mechi ya mwisho ya Kundi A la Kombe ya Mataifa ya Afrika, AFCON 2012, na kutinga kucheza Robo Fainali kama Mshindi wa Kundi na watakutana na Mshindi wa Pili wa Kundi B.
Equatorial Guinea, ambao walikuwa tayari wameingia Robo Fainali baada ya kushinda mechi zao mbili za kwanza, watacheza na Mshindi wa Kundi B.
Katika mechi nyingine ya Kundi A, Libya waliifunga Senegal bao 2-1 lakini Timu zote hizo zimeaga Mashindano.
MSIMAMO:
KUNDI A
[Baada ya Mechi 2 kila Timu]
-Zambia> Bao 5-3, Pointi 7 [Imetinga Robo Fainali]
-Equatorial Guinea> Bao 3-2, Pointi 6 [Imetinga Robo Fainali]
-Libya> Bao 4-4, Pointi 6
-Senegal> Bao 1-6, Pointi 0
MSIMAMO:
KUNDI B
[Baada ya Mechi 2 kila Timu]
-Ivory Coast> Bao 3-0, Pointi 6 [Imetinga Robo Fainali]
-Angola> Bao 4-3, Pointi 4
-Sudan> Bao 2-3, Pointi 1
-Burkina Faso> Bao 1-4, Pointi 0
KUNDI C
[Baada ya Mechi 2 kila Timu]
-Gabon> Bao 5-2, Pointi 6 [Imetinga Robo Fainali]
-Tunisia> Bao 4-2, Pointi 6 [Imetinga Robo Fainali]
-Morocco> Bao 3-5, Pointi 0
-Niger> Bao 1-4, Pointi 0
KUNDI D
[Baada ya Mechi 2 kila Timu]
-Ghana> Bao 3-0, Pointi 6
-Guinea> Bao 6-2, Pointi 3
-Mali> Bao 1-2, Pointi 3
-Botswana> Bao 1-7, Pointi 0
RATIBA & MATOKEO
[Saa za Bongo]
Januari 21
KUNDI A
Equatorial Guinea 1 Libya 0
Senegal 1 Zambia 2
Januari 22
KUNDI B
Ivory Coast 1 Sudan 0
Burkina Faso 1 Angola 2
Januari 23
KUNDI C
Gabon 2 Niger 0
Morocco 1 Tunisia 2
Januari 24
KUNDI D
Ghana 1 Botswana 0
Mali 1 Guinea 0
Januari 25
KUNDI A
Libya 2 Zambia 2
Equatorial Guinea 2 Senegal 1
Januari 26
KUNDI B
Sudan 2 Angola 2
Ivory Coast 2 Burkina Faso 0
Januari 27
KUNDI C
Niger 1 Tunisia 2
Gabon 3 Morocco 2
Januari 28
KUNDI D
Botswana 1 Guinea 6
Ghana 2 Mali 0
Januari 29
KUNDI A
Equatorial Guinea 0 Zambia 1
Libya 2 Senegal 1
Januari 30
KUNDI B
Sudan v Burkina Faso [Saa 3 Usiku]
Ivory Coast v Angola [Saa 3 Usiku]
Januari 31
KUNDI C
Gabon v Tunisia [Saa 3 Usiku]
Niger v Morocco [Saa 3 Usiku]
Februari 1
KUNDI D
Botswana v Mali [Saa 3 Usiku]
Ghana v Guinea [Saa 3 Usiku]
ROBO FAINALI
Februari 4
Zambia v Mshindi wa Pili Kundi B==Mechi Namba 25
Mshindi wa Kwanza Kundi B v Equatorial Guinea==Mechi Namba 26
Februari 5
Mshindi wa Kwanza Kundi C v Mshindi wa Pili Kundi D==Mechi Namba 27
Mshindi wa Kwanza Kundi D v Mshindi wa Pili Kundi C==Mechi Namba 28
NUSU FAINALI
Februari 8
Mshindi Mechi Namba 25 v Mshindi Mechi Namba 28
Mshindi Mechi Namba 27 v Mshindi Mechi Namba 26
MSHINDI WA 3
Februari 11-Jijini Malabo, Equatorial Guinea
FAINALI
Februari 12-Jijini Libreville, Gabon