RATIBA:
Januari 28
KUNDI D
Botswana 1 Guinea 6
Ghana 2 Mali 0
MSIMAMO:
KUNDI D
[Baada ya Mechi 2 kila Timu]
-Ghana> Bao 3-0, Pointi 6
-Guinea> Bao 6-2, Pointi 3
-Mali> Bao 1-2, Pointi 3
-Botswana> Bao 1-7, Pointi 0
TIMU ZILIZOTINGA ROBO FAINALI:
-KUNDI A: Equatorial Guinea
-KUNDI B: Ivory Coast
-KUNDI C: Gabon & Tunisia
-KUNDI D: Nani wawili kati ya Ghana, Mali, Botswana na Sudan?
TAARIFA:
Nani atafuzu kutoka Kundi D kuingia Robo Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2012, bado ni kitendawili ingawa Ghana wana nafasi nzuri baada ya jana kuifunga Mali bao 2-0 na kujifikishia pointi 6 wakifuatiwa na Guinea na Mali zenye pointi 3 kila mmoja.
Botswana, ambao jana walitwangwa bao 6-1 na Guinea, wameshatolewa kwenye michuano hii.
Katika mechi za mwisho za Kundi hili, ambazo zitaamua Timu zipi mbili zitasonga kati ya Ghana, Mali na Guinea, Botswana watacheza na Mali na Ghana wataivaa Guinea
RATIBA & MATOKEO
[Saa za Bongo]
Januari 21
KUNDI A
Equatorial Guinea 1 Libya 0
Senegal 1 Zambia 2
Januari 22
KUNDI B
Ivory Coast 1 Sudan 0
Burkina Faso 1 Angola 2
Januari 23
KUNDI C
Gabon 2 Niger 0
Morocco 1 Tunisia 2
Januari 24
KUNDI D
Ghana 1 Botswana 0
Mali 1 Guinea 0
Januari 25
KUNDI A
Libya 2 Zambia 2
Equatorial Guinea 2 Senegal 1
Januari 26
KUNDI B
Sudan 2 Angola 2
Ivory Coast 2 Burkina Faso 0
Januari 27
KUNDI C
Niger 1 Tunisia 2
Gabon 3 Morocco 2
Januari 28
KUNDI D
Botswana 1 Guinea 6
Ghana 2 Mali 0
Januari 29
KUNDI A
Equatorial Guinea v Zambia [Saa 3 Usiku]
Libya v Senegal [Saa 3 Usiku]
Januari 30
KUNDI B
Sudan v Burkina Faso [Saa 3 Usiku]
Ivory Coast v Angola [Saa 3 Usiku]
Januari 31
KUNDI C
Gabon v Tunisia [Saa 3 Usiku]
Niger v Morocco [Saa 3 Usiku]
Februari 1
KUNDI D
Botswana v Mali [Saa 3 Usiku]
Ghana v Guinea [Saa 3 Usiku]
ROBO FAINALI
Februari 4
Mshindi wa Kwanza Kundi A v Mshindi wa Pili Kundi B==Mechi Namba 25
Mshindi wa Kwanza Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A==Mechi Namba 26
Februari 5
Mshindi wa Kwanza Kundi C v Mshindi wa Pili Kundi D==Mechi Namba 27
Mshindi wa Kwanza Kundi D v Mshindi wa Pili Kundi C==Mechi Namba 28
NUSU FAINALI
Februari 8
Mshindi Mechi Namba 25 v Mshindi Mechi Namba 28
Mshindi Mechi Namba 27 v Mshindi Mechi Namba 26
MSHINDI WA 3
Februari 11-Jijini Malabo, Equatorial Guinea
FAINALI
Februari 12-Jijini Libreville, Gabon