RATIBA/MATOKEO:
Januari 28
KUNDI D
Botswana v Guinea [Saa 1 Usiku]
Ghana v Mali [Saa 4 Usiku]
MSIMAMO:
KUNDI D
[Baada ya Mechi 1 kila Timu]
-Ghana> Bao 1-0, Pointi 3
-Mali> Bao 1-0, Pointi 3
-Botswana> Bao 0-1, Pointi 0
-Guinea> Bao 0-1, Pointi 0
TIMU ZILIZOTINGA ROBO FAINALI:
-KUNDI A: Equatorial Guinea
-KUNDI B: Ivory Coast
-KUNDI C: Gabon & Tunisia
-KUNDI D: Nani wawili kati ya Ghana, Mali, Botswana na Sudan watasonga?
TAARIFA:
Leo Kundi la mwisho, Kundi D la Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2012,, linacheza mechi zake za pili na Ghana na Mali ndizo zipo juu zikiwa na pointi 3 baada ya kushinda mechi zao za kwanza.
Lakini leo Ghana na Mali zinakutana zenyewe na yeyote atakaeshinda atajihakikishia kuingia Robo Fainali.
Botswana na Guinea, zilizofungwa katika mechi za kwanza, zinakutana leo na ni lazima ziepuke kipigo ili wabaki mashindanoni huku anaefungwa ni bai bai AFCON2012.
Tayari nafasi 4 kati ya 8 za Robo Fainali zishapata wenyewe huku Kundi C likiwa limeshapata wawakilishi wake wote wawili ambao ni Gabon na Tunisia.
Toka Kundi A tayari Equatorial Guinea wamefuzu na kuziacha Zambia na Libya kuwania nafasi moja iliyobaki.
Kundi B Ivory Coast imeshasonga Robo Fainali na Timu ya pili itakayoungana nao itakuwa ni Angola au Sudan.
Mechi za mwisho za Makundi zitachezwa kuanzia Jumapili na Robo Fainali zitachezwa Februari 4 na 5.
RATIBA & MATOKEO
[Saa za Bongo]
Januari 21
KUNDI A
Equatorial Guinea 1 Libya 0
Senegal 1 Zambia 2
Januari 22
KUNDI B
Ivory Coast 1 Sudan 0
Burkina Faso 1 Angola 2
Januari 23
KUNDI C
Gabon 2 Niger 0
Morocco 1 Tunisia 2
Januari 24
KUNDI D
Ghana 1 Botswana 0
Mali 1 Guinea 0
Januari 25
KUNDI A
Libya 2 Zambia 2
Equatorial Guinea 2 Senegal 1
Januari 26
KUNDI B
Sudan 2 Angola 2
Ivory Coast 2 Burkina Faso 0
Januari 27
KUNDI C
Niger 1 Tunisia 2
Gabon 3 Morocco 2
Januari 28
KUNDI D
Botswana v Guinea [Saa 1 Usiku]
Ghana v Mali [Saa 4 Usiku]
Januari 29
KUNDI A
Equatorial Guinea v Zambia [Saa 3 Usiku]
Libya v Senegal [Saa 3 Usiku]
Januari 30
KUNDI B
Sudan v Burkina Faso [Saa 3 Usiku]
Ivory Coast v Angola [Saa 3 Usiku]
Januari 31
KUNDI C
Gabon v Tunisia [Saa 3 Usiku]
Niger v Morocco [Saa 3 Usiku]
Februari 1
KUNDI D
Botswana v Mali [Saa 3 Usiku]
Ghana v Guinea [Saa 3 Usiku]
ROBO FAINALI
Februari 4
Mshindi wa Kwanza Kundi A v Mshindi wa Pili Kundi B==Mechi Namba 25
Mshindi wa Kwanza Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A==Mechi Namba 26
Februari 5
Mshindi wa Kwanza Kundi C v Mshindi wa Pili Kundi D==Mechi Namba 27
Mshindi wa Kwanza Kundi D v Mshindi wa Pili Kundi C==Mechi Namba 28
NUSU FAINALI
Februari 8
Mshindi Mechi Namba 25 v Mshindi Mechi Namba 28
Mshindi Mechi Namba 27 v Mshindi Mechi Namba 26
MSHINDI WA 3
Februari 11-Jijini Malabo, Equatorial Guinea
FAINALI