DIMBANI AFRIKA

AFCON 2012: Ivory Coast yasonga, Gabon na Tunisia zawinda leo!

Ijumaa, 27 Januari 2012 16:26
Chapisha Toleo la kuchapisha

AFCON_SIB_LOGO12RATIBA/MATOKEO:

Januari 26

KUNDI B

Sudan 2 Angola 2

Ivory Coast 2 Burkina Faso 0

Januari 27

KUNDI C

Niger v Tunisia [Saa 1 Usiku]

Gabon v Morocco [Saa 4 Usiku]

KUNDI C

[Baada ya Mechi 1 kila Timu]

-Gabon> Bao 2-0, Pointi 3

-Tunisia> Bao 2-1, Pointi 3

-Morocco> Bao 1-2, Pointi 0

-Niger> Bao 0-2, Pointi 0

TAARIFA:

Jana Ivory Coast iliungana na Equatorial Guinea kutinga Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2012, baada ya kuichapa Burkina Faso 2-0 ambayo sasa imeungana na Senegal kwenda nje ya mashindano.

Katika mechi nyingine ya Kundi B Sudan na Angola zilitoka sare bao 2-2 na bado zipo kwenye inyang’anyiro cha kusonga mbele.


 

Leo ni zamu ya Wenyeji wenza Gabon na Tunisia kutafuta ushindi ili kusonga mbele lakini wapinzani wao wa leo,Niger na Morocco, wanapigania kubaki kushinda kwenye mechi hizo baada ya kufungwa katika mechi za kwanza za Kundi C.

RATIBA & MATOKEO

[Saa za Bongo]

Januari 21

KUNDI A

Equatorial Guinea 1 Libya 0

Senegal 1 Zambia 2

Januari 22

KUNDI B

Ivory Coast 1 Sudan 0

Burkina Faso 1 Angola 2

Januari 23

KUNDI C

Gabon 2 Niger 0

Morocco 1 Tunisia 2

Januari 24

KUNDI D

Ghana 1 Botswana 0

Mali 1 Guinea 0

Januari 25

KUNDI A

Libya 2 Zambia 2

Equatorial Guinea 2 Senegal 1

Januari 26

KUNDI B

Sudan 2 Angola 2

Ivory Coast 2 Burkina Faso 0

Januari 27

KUNDI C

Niger v Tunisia [Saa 1 Usiku]

Gabon v Morocco [Saa 4 Usiku]

Januari 28

KUNDI D

Botswana v Guinea [Saa 1 Usiku]

Ghana v Mali

Januari 29

KUNDI A

Equatorial Guinea v Zambia [Saa 3 Usiku]

Libya v Senegal [Saa 3 Usiku]

Januari 30

KUNDI B

Sudan v Burkina Faso [Saa 3 Usiku]

Ivory Coast v Angola [Saa 3 Usiku]

Januari 31

KUNDI C

Gabon v Tunisia [Saa 3 Usiku]

Niger v Morocco [Saa 3 Usiku]

Februari 1

KUNDI D

Botswana v Mali [Saa 3 Usiku]

Ghana v Guinea [Saa 3 Usiku]

ROBO FAINALI

Februari 4

Mshindi wa Kwanza Kundi A v Mshindi wa Pili Kundi B==Mechi Namba 25

Mshindi wa Kwanza Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A==Mechi Namba 26

Februari 5

Mshindi wa Kwanza Kundi C v Mshindi wa Pili Kundi D==Mechi Namba 27

Mshindi wa Kwanza Kundi D v Mshindi wa Pili Kundi C==Mechi Namba 28

NUSU FAINALI

Februari 8

Mshindi Mechi Namba 25 v Mshindi Mechi Namba 28

Mshindi Mechi Namba 27 v Mshindi Mechi Namba 26

MSHINDI WA 3

Februari 11-Jijini Malabo, Equatorial Guinea

FAINALI

Februari 12-Jijini Libreville, Gabon

Kutoa maoni

Tafadhali toa maoni sahihi kwa kutumia lugha ya heshima.


Security code
Onyesha tena

Ingia

Jiandikishe / Ingia

MATANGAZO

TANGAZA_BURE2
SOKAINBONGO_BANNER1