DIMBANI AFRIKA

AFCON 2012: Angola na Ivory Coast kutinga Robo Fainali?

Alhamisi, 26 Januari 2012 17:54
Chapisha Toleo la kuchapisha

AFCON_SIB_LOGO12RATIBA:

Januari 26

KUNDI B

Sudan v Angola [Saa 1 Usiku]

Ivory Coast v Burkina Faso [Saa 4 Usiku]

MSIMAMO:

KUNDI B

[Baada ya Mechi 1 kila Timu]

-Angola> Bao 2-1, Pointi 3

-Ivory Coast> Bao 1-0, Pointi 3

-Burkina Faso> Bao 1-2, Pointi 0

-Sudan> Bao 0-1, Pointi 0

TAARIFA:

Baada ya kushinda mechi zao za kwanza za Kundi B kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, Angola na Ivory Coast, leo zina nafasi kubwa ya kutinga Robo Fainali ikiwa zitashinda mechi zao huko Malabo, Equatorial Guinea.

Lakini hilo si rahisi maana wanapambana na Timu zilizofungwa kwenye mechi za kwanza na ambazo zitapigana kubaki kwenye Mashindano haya makubwa Afrika.

Angola, walioifunga Burkina Faso bao 2-1, wanaivaa Sudan ambao walichapwa bao 1-0 na Ivory Coast kwa bao la Didier Drogba wa Chelsea.

Jana Wenye wenza Equatorial Guinea walikuwa Nchi ya kwanza kutinga Robo Fainali baada ya kuwafunga Senegal bao 2-1 na kuwatoa nje ya michuano hii.

RATIBA & MATOKEO

[Saa za Bongo]

Januari 21

KUNDI A

Equatorial Guinea 1 Libya 0

Senegal 1 Zambia 2

Januari 22

KUNDI B

Ivory Coast 1 Sudan 0

Burkina Faso 1 Angola 2

Januari 23

KUNDI C

Gabon 2 Niger 0

Morocco 1 Tunisia 2

Januari 24

KUNDI D

Ghana 1 Botswana 0

Mali 1 Guinea 0

Januari 25

KUNDI A

Libya 2 Zambia 2

Equatorial Guinea 2 Senegal 1

Januari 26

KUNDI B

Sudan v Angola [Saa 1 Usiku]

Ivory Coast v Burkina Faso [Saa 4 Usiku]

Januari 27

KUNDI C

Niger v Tunisia [Saa 1 Usiku]

Gabon v Morocco [Saa 4 Usiku]

Januari 28

KUNDI D

Botswana v Guinea [Saa 1 Usiku]

Ghana v Mali

Januari 29

KUNDI A

Equatorial Guinea v Zambia [Saa 3 Usiku]

Libya v Senegal [Saa 3 Usiku]

Januari 30

KUNDI B

Sudan v Burkina Faso [Saa 3 Usiku]

Ivory Coast v Angola [Saa 3 Usiku]

Januari 31

KUNDI C

Gabon v Tunisia [Saa 3 Usiku]

Niger v Morocco [Saa 3 Usiku]

Februari 1

KUNDI D

Botswana v Mali [Saa 3 Usiku]

Ghana v Guinea [Saa 3 Usiku]

ROBO FAINALI

Februari 4

Mshindi wa Kwanza Kundi A v Mshindi wa Pili Kundi B==Mechi Namba 25

Mshindi wa Kwanza Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A==Mechi Namba 26

Februari 5

Mshindi wa Kwanza Kundi C v Mshindi wa Pili Kundi D==Mechi Namba 27

Mshindi wa Kwanza Kundi D v Mshindi wa Pili Kundi C==Mechi Namba 28

NUSU FAINALI

Februari 8

Mshindi Mechi Namba 25 v Mshindi Mechi Namba 28

Mshindi Mechi Namba 27 v Mshindi Mechi Namba 26

MSHINDI WA 3

Februari 11-Jijini Malabo, Equatorial Guinea

FAINALI

Februari 12-Jijini Libreville, Gabon

Kutoa maoni

Tafadhali toa maoni sahihi kwa kutumia lugha ya heshima.


Security code
Onyesha tena

Ingia

Jiandikishe / Ingia

MATANGAZO

TANGAZA_BURE2
SOKAINBONGO_BANNER1