RATIBA/MATOKEO:
Januari 24
KUNDI D
Ghana 1 Botswana 0
Mali 1 Guinea 0
Januari 25
KUNDI A
Libya v Zambia [Saa 1 Usiku]
Equatorial Guinea v Senegal [Saa 4 Usiku]
TAARIFA:
Nahodha na Sentahafu wa Ghana John Mensah atazikosa mechi zilizobaki za Nchi yake za Kundi D kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2012, dhidi ya Mali na Guinea.
Mensah alitolewa kwa Kadi Nyekundu hapo jana katika dakika ya 66 kwenye mechi na Botswana ambayo Ghana walishinda bao 1-0 baada ya kumchezea rafu Fowadi wa Botswana Jerome Ramatlhakwane aliekuwa akichanja mbuga kwenda kumuona Kipa wa Ghana na Refa, akiamua Mensah alikuwa Mtu wa mwisho, hakusita kutoa Kadi hiyo.
Kwa mujibu wa kanuni za CAF, Mensah atazikosa mechi mbili lakini pengo lake linaweza kuzibwa na kina John Boye, Jonathan Mensah na Lee Addy.
Hii ni mara ya pili kwa John Mensah kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu kwenye AFCON kwani Mwaka 2008 alitolewa walipocheza na Nigeria lakini Ghana walishinda mechi hiyo kwa bao 2-1 na kutinga Nusu Fainali.
Ingawa Ghana haijathibitisha kama itakata Rufaa kupinga Kadi hiyo, mwenyewe Mensah amesema: ‘Sina tatizo na Kadi Nyekundu. Refa ametoa uamuzi wake na huo ndio mpira.’
RATIBA & MATOKEO
[Saa za Bongo]
Januari 21
KUNDI A
Equatorial Guinea 1 Libya 0
Senegal 1 Zambia 2
Januari 22
KUNDI B
Ivory Coast 1 Sudan 0
Burkina Faso 1 Angola 2
Januari 23
KUNDI C
Gabon 2 Niger 0
Morocco 1 Tunisia 2
Januari 24
KUNDI D
Ghana 1 Botswana 0
Mali 1 Guinea 0
Januari 25
KUNDI A
Libya v Zambia [Saa 1 Usiku]
Equatorial Guinea v Senegal [Saa 4 Usiku]
Januari 26
KUNDI B
Sudan v Angola [Saa 1 Usiku]
Ivory Coast v Burkina Faso [Saa 4 Usiku]
Januari 27
KUNDI C
Niger v Tunisia [Saa 1 Usiku]
Gabon v Morocco [Saa 4 Usiku]
Januari 28
KUNDI D
Botswana v Guinea [Saa 1 Usiku]
Ghana v Mali
Januari 29
KUNDI A
Equatorial Guinea v Zambia [Saa 3 Usiku]
Libya v Senegal [Saa 3 Usiku]
Januari 30
KUNDI B
Sudan v Burkina Faso [Saa 3 Usiku]
Ivory Coast v Angola [Saa 3 Usiku]
Januari 31
KUNDI C
Gabon v Tunisia [Saa 3 Usiku]
Niger v Morocco [Saa 3 Usiku]
Februari 1
KUNDI D
Botswana v Mali [Saa 3 Usiku]
Ghana v Guinea [Saa 3 Usiku]
ROBO FAINALI
Februari 4
Mshindi wa Kwanza Kundi A v Mshindi wa Pili Kundi B==Mechi Namba 25
Mshindi wa Kwanza Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A==Mechi Namba 26
Februari 5
Mshindi wa Kwanza Kundi C v Mshindi wa Pili Kundi D==Mechi Namba 27
Mshindi wa Kwanza Kundi D v Mshindi wa Pili Kundi C==Mechi Namba 28
NUSU FAINALI
Februari 8
Mshindi Mechi Namba 25 v Mshindi Mechi Namba 28
Mshindi Mechi Namba 27 v Mshindi Mechi Namba 26
MSHINDI WA 3
Februari 11-Jijini Malabo, Equatorial Guinea
FAINALI

![]() |