RATIBA/MATOKEO:
Januari 24
KUNDI D
Ghana 1 Botswana 0
Mali v Guinea [Saa 4 Usiku]
TAARIFA:
Katika mechi ya Kundi D la Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika iliyochezwa leo huko Franceville, Gabon Ghana ilibidi wajitutumue kuifunga bao 1-0 Timu mpya kwenye michuano hiyo Botswana lakini ushindi huo umekuja kwa gharama ya kupewa Kadi Nyekundu John Mensah ambae ndie Nahodha wao na pia ndie aliewafungia bao lao la ushindi.
Ghana walipata bao lao dakika ya 25 baada ya kona kuparazwa na kichwa cha Asamoah Gyan na kumkuta Mensah aliesukuma mpira wavuni kwa goti lake.
Katika dakika ya 66 Botswana waliosha mpira toka kwenye difensi yao na kichwa kibovu cha Annan kilimkuta Ramatlhakwane akiwa njia nyeupe kwenda kumuona Kipa wa Ghana na katika harakati za kumdhibiti Mensah akamwangusha Mshambuliaji huyo wa Botswana na Refa akampa Kadi Nyekundu kwa vile alikuwa Mtu wa mwisho.
RATIBA & MATOKEO
[Saa za Bongo]
Januari 21
KUNDI A
Equatorial Guinea 1 Libya 0
Senegal 1 Zambia 2
Januari 22
KUNDI B
Ivory Coast 1 Sudan 0
Burkina Faso 1 Angola 2
Januari 23
KUNDI C
Gabon 2 Niger 0
Morocco 1 Tunisia 2
Januari 24
KUNDI D
Ghana 1 Botswana 0
Mali v Guinea [Saa 4 Usiku]
Januari 25
KUNDI A
Libya v Zambia [Saa 1 Usiku]
Equatorial Guinea v Senegal [Saa 4 Usiku]
Januari 26
KUNDI B
Sudan v Angola [Saa 1 Usiku]
Ivory Coast v Burkina Faso [Saa 4 Usiku]
Januari 27
KUNDI C
Niger v Tunisia [Saa 1 Usiku]
Gabon v Morocco [Saa 4 Usiku]
Januari 28
KUNDI D
Botswana v Guinea [Saa 1 Usiku]
Ghana v Mali
Januari 29
KUNDI A
Equatorial Guinea v Zambia [Saa 3 Usiku]
Libya v Senegal [Saa 3 Usiku]
Januari 30
KUNDI B
Sudan v Burkina Faso [Saa 3 Usiku]
Ivory Coast v Angola [Saa 3 Usiku]
Januari 31
KUNDI C
Gabon v Tunisia [Saa 3 Usiku]
Niger v Morocco [Saa 3 Usiku]
Februari 1
KUNDI D
Botswana v Mali [Saa 3 Usiku]
Ghana v Guinea [Saa 3 Usiku]
ROBO FAINALI
Februari 4
Mshindi wa Kwanza Kundi A v Mshindi wa Pili Kundi B==Mechi Namba 25
Mshindi wa Kwanza Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A==Mechi Namba 26
Februari 5
Mshindi wa Kwanza Kundi C v Mshindi wa Pili Kundi D==Mechi Namba 27
Mshindi wa Kwanza Kundi D v Mshindi wa Pili Kundi C==Mechi Namba 28
NUSU FAINALI
Februari 8
Mshindi Mechi Namba 25 v Mshindi Mechi Namba 28
Mshindi Mechi Namba 27 v Mshindi Mechi Namba 26
MSHINDI WA 3
Februari 11-Jijini Malabo, Equatorial Guinea
FAINALI
Februari 12-Jijini Libreville, Gabon

![]() |