DIMBANI AFRIKA

AFCON 2012: Ghana kuanza kampeni leo!

Jumanne, 24 Januari 2012 17:36
Chapisha Toleo la kuchapisha
AFCON_SIB_LOGO12

RATIBA:

Januari 24

KUNDI D

Ghana v Botswana [Saa 1 Usiku]

Mali v Guinea [Saa 4 Usiku]

TAARIFA:

Timu ambayo inasifiwa na kutegemewa kufanya makubwa, Ghana, leo inaingia dimbani kwa mara ya kwanza kucheza na Botswana, Nchi ambayo ni mara ya kwanza kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, katika mechi ya Kundi D itakayochezwa Estadio de Franceville huko Gabon.

Mechi nyingine ya Kundi D inahusisha Nchi jirani za Mali na Guinea.ASAMOAH_GYAN

Kwenye mechi ya leo Ghana inategemewa kumchezesha Staa wao Asamoah Gyan ambae alikuwa majeruhi.

Mwaka 2010, Ghana walitinga hadi Fainali za AFCON 2010 na kutolewa na Egypt kwa bao 1-0 na kuukosa Ubingwa lakini safari hii pia wanapewa nafasi kubwa ya kutinga Fainali hasa kwa vile Vigogo Egypt, Nigeria na Cameroun hawamo kwenye Mashindano haya.

Kikosi cha leo cha Ghana kinategemewa kuwa na:

Adam Kwarasey, John Paintsil, Samuel Inkoom, John Boye, John Mensah, Anthony Annan, Jordan Ayew, Emmanuel Agyemang Badu, Asamoah Gyan, Andre Ayew, Sulley Muntari.

RATIBA & MATOKEO

[Saa za Bongo]

Januari 21

KUNDI A

Equatorial Guinea 1 Libya 0

Senegal 1 Zambia 2

Januari 22

KUNDI B

Ivory Coast 1 Sudan 0

Burkina Faso 1 Angola 2

Januari 23

KUNDI C

Gabon 2 Niger 0

Morocco 1 Tunisia 2

Januari 24

KUNDI D

Ghana v Botswana [Saa 1 Usiku]

Mali v Guinea [Saa 4 Usiku]

Januari 25

KUNDI A

Libya v Zambia [Saa 1 Usiku]

Equatorial Guinea v Senegal [Saa 4 Usiku]

Januari 26

KUNDI B

Sudan v Angola [Saa 1 Usiku]

Ivory Coast v Burkina Faso [Saa 4 Usiku]

Januari 27

KUNDI C

Niger v Tunisia [Saa 1 Usiku]

Gabon v Morocco [Saa 4 Usiku]

Januari 28

KUNDI D

Botswana v Guinea [Saa 1 Usiku]

Ghana v Mali

Januari 29

KUNDI A

Equatorial Guinea v Zambia [Saa 3 Usiku]

Libya v Senegal [Saa 3 Usiku]

Januari 30

KUNDI B

Sudan v Burkina Faso [Saa 3 Usiku]

Ivory Coast v Angola [Saa 3 Usiku]

Januari 31

KUNDI C

Gabon v Tunisia [Saa 3 Usiku]

Niger v Morocco [Saa 3 Usiku]

Februari 1

KUNDI D

Botswana v Mali [Saa 3 Usiku]

Ghana v Guinea [Saa 3 Usiku]

ROBO FAINALI

Februari 4

Mshindi wa Kwanza Kundi A v Mshindi wa Pili Kundi B==Mechi Namba 25

Mshindi wa Kwanza Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A==Mechi Namba 26

Februari 5

Mshindi wa Kwanza Kundi C v Mshindi wa Pili Kundi D==Mechi Namba 27

Mshindi wa Kwanza Kundi D v Mshindi wa Pili Kundi C==Mechi Namba 28

NUSU FAINALI

Februari 8

Mshindi Mechi Namba 25 v Mshindi Mechi Namba 28

Mshindi Mechi Namba 27 v Mshindi Mechi Namba 26

MSHINDI WA 3

Februari 11-Jijini Malabo, Equatorial Guinea

FAINALI

Februari 12-Jijini Libreville, Gabon

Kutoa maoni

Tafadhali toa maoni sahihi kwa kutumia lugha ya heshima.


Security code
Onyesha tena

Ingia

Jiandikishe / Ingia

MATANGAZO

TANGAZA_BURE2
SOKAINBONGO_BANNER1