RATIBA/MATOKEO:
Januari 22
KUNDI B
Ivory Coast 1 Sudan 0
Burkina Faso 1 Angola 2
RATIBA LEO:
Januari 23
KUNDI C
Gabon v Niger [Saa 1 Usiku]
Morocco v Tunisia [Saa 4 Usiku]
TAARIFA:
Straika wa zamani wa Manchester United, Manucho, jana alifunga bao la pili kwa kigongo cha Mita 20 na kuwapa ushindi wa bao 2-1 Angola dhidi ya Burkina Faso kwenye mechi yao ya kwanza ya Kundi B la Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2012, iliyochezwa huko Malabo Nchini Equatorial Guinea.
Angola ndio waliotangulia kupata bao dakika ya 48 mfungaji akiwa Mateus Galliano Costa lakini Burkina Faso wakasawazisha kwenye dakika ya 57 kwa bao la Traore Henry.
Bao la Manucho lilifungwa katika dakika ya 68.
Katika Kundi hilo mapema jana, Ivory Coast waliifunga Sudan bao 1-0.
Mechi zifuatazo za Timu hizi zilizo Kundi B ni hapo Januari 26 kwa Angola kucheza na Sudan na Ivory Coast kupambana na Burkina Faso.
MAKUNDI, RATIBA & MATOKEO
MAKUNDI:
Kundi A: Equatorial Guinea, Libya, Senegal, Zambia
Kundi B: Ivory Coast, Sudan, Burkina Faso, Angola
Kundi C: Gabon, Niger, Morocco, Tunisia
Kundi D: Ghana, Botswana, Mali, Guinea
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]
Januari 21
KUNDI A
Equatorial Guinea 1 Libya 0
Senegal 1 Zambia 2
Januari 22
KUNDI B
Ivory Coast 1 Sudan 0
Burkina Faso 1 Angola 2
Januari 23
KUNDI C
Gabon v Niger [Saa 1 Usiku]
Morocco v Tunisia [Saa 4 Usiku]
Januari 24
KUNDI D
Ghana v Botswana [Saa 1 Usiku]
Mali v Guinea [Saa 4 Usiku]
Januari 25
KUNDI A
Libya v Zambia [Saa 1 Usiku]
Equatorial Guinea v Senegal [Saa 4 Usiku]
Januari 26
KUNDI B
Sudan v Angola [Saa 1 Usiku]
Ivory Coast v Burkina Faso [Saa 4 Usiku]
Januari 27
KUNDI C
Niger v Tunisia [Saa 1 Usiku]
Gabon v Morocco [Saa 4 Usiku]
Januari 28
KUNDI D
Botswana v Guinea [Saa 1 Usiku]
Ghana v Mali
Januari 29
KUNDI A
Equatorial Guinea v Zambia [Saa 3 Usiku]
Libya v Senegal [Saa 3 Usiku]
Januari 30
KUNDI B
Sudan v Burkina Faso [Saa 3 Usiku]
Ivory Coast v Angola [Saa 3 Usiku]
Januari 31
KUNDI C
Gabon v Tunisia [Saa 3 Usiku]
Niger v Morocco [Saa 3 Usiku]
Februari 1
KUNDI D
Botswana v Mali [Saa 3 Usiku]
Ghana v Guinea [Saa 3 Usiku]
ROBO FAINALI
Februari 4
Mshindi wa Kwanza Kundi A v Mshindi wa Pili Kundi B==Mechi Namba 25
Mshindi wa Kwanza Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A==Mechi Namba 26
Februari 5
Mshindi wa Kwanza Kundi C v Mshindi wa Pili Kundi D==Mechi Namba 27
Mshindi wa Kwanza Kundi D v Mshindi wa Pili Kundi C==Mechi Namba 28
NUSU FAINALI
Februari 8
Mshindi Mechi Namba 25 v Mshindi Mechi Namba 28
Mshindi Mechi Namba 27 v Mshindi Mechi Namba 26
MSHINDI WA 3
Februari 11-Jijini Malabo, Equatorial Guinea
FAINALI
Februari 12-Jijini Libreville, Gabon

![]() |