DIMBANI AFRIKA

AFCON 2012: Dimbani Jumamosi, DSTV yaweka Chaneli rasmi ya Masaa 24

Ijumaa, 20 Januari 2012 12:57
Chapisha Toleo la kuchapisha

AFCON_SIB_LOGO12RATIBA:

Januari 21

KUNDI A

Equatorial Guinea v Libya

Senegal v Zambia

TAARIFA:

Mashindano makubwa Barani Afrika, Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2012, yataanza rasmi kesho Jumamosi Januari 21 kwa sherehe za ufunguzi rasmi hapo Saa 1 na Nusu usiku, Bongo Taimu, zitakazofanyika huko Bata, Equatorial Guinea na kupeperushwa moja kwa moja na Kituo cha TV cha DSTV kupitia Chaneli zake za SuperSport.

AFCON 2012 itachezwa huko Nchini Gabon na Equatorial Guinea kuanzia Januari 21 na kumalizika Februari 12.

DSTV imeanzisha Chaneli maalum kwa ajili ya AFCON 2012, SuperSport 4, na itakuwa ikitangaza matangazo kwa Masaa 24 kila siku kuanzia Jumamosi Januari 21 Saa 1 asubuhi.

Pia SuperSport imeahidi kutangaza laivu mechi zote 32 za AFCON 2012.

Mara baada ya sherehe za ufunguzi hiyo kesho kutakuwa na mechi mbili ya kwanza ikiwa kati ya Wenyeji wenza Equatorial Guinea v Libya na nyingine ni Senegal v Zambia.

AFCON 2012: Makundi & Ratiba

Januari 21==Februari 12, Nchini Gabon na Equatorial Guinea

MAKUNDI:

Kundi A: Equatorial Guinea, Libya, Senegal, Zambia

Kundi B: Ivory Coast, Sudan, Burkina Faso, Angola

Kundi C: Gabon, Niger, Morocco, Tunisia

Kundi D: Ghana, Botswana, Mali, Guinea

RATIBA:

Januari 21

KUNDI A

Equatorial Guinea v Libya

Senegal v Zambia

Januari 22

KUNDI B

Ivory Coast v Sudan

Burkina Faso v Angola

Januari 23

KUNDI C

Gabon v Niger

Morocco v Tunisia

Januari 24

KUNDI D

Ghana v Botswana

Mali v Guinea

Januari 25

KUNDI A

Libya v Zambia

Equatorial Guinea v Senegal

Januari 26

KUNDI B

Sudan v Angola

Ivory Coast v Burkina Faso

Januari 27

KUNDI C

Niger v Tunisia

Gabon v Morocco

Januari 28

KUNDI D

Botswana v Guinea

Ghana v Mali

Januari 29

KUNDI A

Guinea v Zambia

Libya v Senegal

Januari 30

KUNDI B

Sudan v Burkina Faso

Ivory Coast v Angola

Januari 31

KUNDI C

Gabon v Tunisia

Niger v Morocco

Februari 1

KUNDI D

Botswana v Mali

Ghana v Guinea

ROBO FAINALI

Februari 4

Mshindi wa Kwanza Kundi A v Mshindi wa Pili Kundi B==Mechi Namba 25

Mshindi wa Kwanza Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A==Mechi Namba 26

Februari 5

Mshindi wa Kwanza Kundi C v Mshindi wa Pili Kundi D==Mechi Namba 27

Mshindi wa Kwanza Kundi D v Mshindi wa Pili Kundi C==Mechi Namba 28

NUSU FAINALI

Februari 8

Mshindi Mechi Namba 25 v Mshindi Mechi Namba 28

Mshindi Mechi Namba 27 v Mshindi Mechi Namba 26

MSHINDI WA 3

Februari 11-Jijini Malabo, Equatorial Guinea

FAINALI

Februari 12-Jijini Libreville, Gabon

Kutoa maoni

Tafadhali toa maoni sahihi kwa kutumia lugha ya heshima.


Security code
Onyesha tena

Ingia

Jiandikishe / Ingia

MATANGAZO

TANGAZA_BURE2
SOKAINBONGO_BANNER1