Bongo Nyuzi

LEO Azam FC v Villa Squad

Jumatano, 15 Februari 2012 10:21
Chapisha Toleo la kuchapisha

AZAM_FC_LOGORATIBA:

Jumatano Februari 15

Jkt Oljoro v Ruvu Shooting

Toto African v Mtibwa Sugar

Azam FC v Villa Squad

Coastal Union v JKT Ruvu

Kagera Sugar v Moro United

TAARIFA:

Leo huko Uwanja wa Chamazi, wenyeji Azam FC wanaikaribisha Villa Squad katika mechi ya Ligi Kuu Vodacom huku wakitaka kupunguza machungu ya kufungwa bao 2-0 katika mechi yao ya mwisho ya Ligi na Simba lakini wanakutana na Timu ambayo nayo iliichapa Simba bao 1-0 hivi karibuni na kuwashangaza wengi hasa kwa vile walimaliza mechi hiyo wakiwa Mtu 10 tu baada ya Wachezaji wao wawili kupewa Kadi Nyekundu.

Baada ya ushindi huo Villa Squad ilikwenda huko Dodoma na kuichapa Polisi Dodoma bao 2-1 a kujikwamua kutoka mkiani kwenye msimamo wa Ligi.

Hadi sasa Azam wapo nafasi ya 3 wakiwa na Pointi 32 pointi 5 nyuma ya Simba na Yanga zilizo juu zikiwa na pointi 37 kila mmoja.

Villa Squad wapo nafasi ya 12 na wana Pointi 16 na chini yao wanafuata Toto African wenye Pointi 14 na mkiani wapo Polisi Dodoma wenye Pointi 13.

MSIMAMO:

TIMU

P

W

D

L

GF

GA

GD

PTS

1

Simba

17

11

4

2

27

10

17

37

2

Yanga

17

11

4

2

29

13

16

37

3

Azam

17

9

5

3

18

8

10

32

4

JKT Oljoro

16

7

5

5

10

11

-1

26

5

Mtibwa Sugar

17

7

4

6

20

17

3

25

6

JKT Ruvu

16

5

7

4

17

17

0

22

7

Kagera Sugar

17

4

8

5

17

17

0

20

8

Coastal Union

17

6

2

9

15

20

-5

20

9

Ruvu Shooting

18

3

10

5

16

17

-1

19

10

African Lyon

16

4

5

7

15

20

-5

17

11

Moro United

17

3

7

7

20

27

-7

16

12

Villa Squad

17

4

4

9

17

31

-14

16

13

Toto African

16

2

8

6

14

20

-6

14

14

Polisi Dodoma

17

2

7

8

16

23

-7

13

Kutoa maoni

Tafadhali toa maoni sahihi kwa kutumia lugha ya heshima.


Security code
Onyesha tena

Ingia

Jiandikishe / Ingia

adidas

All Originals 300x250

MATANGAZO

Adidas Predator 300x250

TANGAZA HAPA

All Originals 728x90