MSIMAMO Timu za juu:
[Kila Timu imecheza Mechi 17]
1 Simba Pointi 37 [Bao za kufunga 27, kufungwa 10, tofauti ya Magoli 17]
2 Yanga Pointi 37 [Bao za kufunga 29, kufungwa 13, tofauti ya Magoli 16]
3 Azam Pointi 32
3 JKT Oljoro Pointi 26
5 Mtibwa Sugar Pointi 22
Taarifa:
Bao la Davies Mwape la dakika ya 48 limewapa Yanga ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting na kuwafikia Simba kileleni huku Timu zote zikiwa na pointi 37 lakini Simba wako mbele kwa kuwa na tofauti ya magoli bora.
Yanga wangeweza kushinda kwa bao nyingi mechi hii lakini walipoteza nafasi na mojawapo kubwa ni pale Hamisi Kiiza kushindwa kufunga penati katika dakika ya 29 ambayo iliokolewa na Kipa Haule.
Mechi hii ilijaa shamrashamra kwa Klabu ya Yanga kwa vile pia walikuwa wakisherehekea Miaka 77 ya kuzaliwa Klabu yao.
RATIBA/MATOKEO:
Jumapili Februari 12
Kagera Sugar v Mtibwa Sugar
Yanga 1 Ruvu Shooting 0
Jumapili Februari 13
Kagera Sugar v Mtibwa Sugar
Jumanne Februari 14
Polisi Dodoma v Simba
Yanga v African Lyon
Jumatano Februari 15
Toto Africans v Mtibwa Sugar