Bongo Nyuzi

Yanga kileleni, yaichapa Mtibwa Sugar!

Jumatano, 08 Februari 2012 22:16
Chapisha Toleo la kuchapisha

YANGA_JUUUMSIMAMO Timu za juu:

[Kila Timu imecheza Mechi 16]

1 Yanga Pointi 34 [Bao za kufunga 28, kufungwa 13, tofauti ya Magoli 15]

2 Simba Pointi 34 [Bao za kufunga 25, kufungwa 10, tofauti ya Magoli 15]

3 Azam Pointi 32

3 JKT Oljoro Pointi 26

5 Mtibwa Sugar Pointi 22

Taarifa:

Huko Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Vodacom, Yanga, wamefanikiwa kuongoza Ligi kwa kuipiku Simba kwa tofauti ya magoli baada ya kuichapa Mtibwa Sugar kwa mabao 3-1.

Yanga na Simba zote zimelingana kwa Pointi wakiwa na Pointi 34 kwa mechi 16 na tofauti ya magoli 15 kwa kila mmoja lakini Yanga wako juu kwa kuwa na bao nyingi za kufunga, bao 28 dhidi ya bao 25 za Simba.

Katika mechi ya leo bao za Yanga zilifungwa na Asamoah, Kiiza na Shamte.

RATIBA:

Jumamosi Februari 11

Coastal Union v African Lyon

JKT Oljoro v JKT Ruvu

Polisi Dodoma v Villa Squad

Simba v Azam

Toto African v Moro United

Jumapili Februari 12

Kagera Sugar v Mtibwa Sugar

Yanga v Ruvu Shooting

Jumanne Februari 14

Polisi Dodoma v Simba

Yanga v African Lyon

Kutoa maoni

Tafadhali toa maoni sahihi kwa kutumia lugha ya heshima.


Security code
Onyesha tena

Ingia

Jiandikishe / Ingia

adidas

All Originals 300x250

MATANGAZO

Adidas Predator 300x250

TANGAZA HAPA

All Originals 728x90