Bongo Nyuzi

Yanga v Mtibwa Sugar Jumatano

Jumanne, 07 Februari 2012 16:24
Chapisha Toleo la kuchapisha

YANGA_JUUUYanga kesho Jumatano inashuka Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kucheza na Mtibwa Sugar na wakipata ushindi wa tofauti ya bao mbili wataing’oa Simba kileleni mwa Ligi Kuu Vodacom.

Simba wapo kileleni wakiwa na pointi 34 kwa mechi 16 na kufuatiwa na Azam waliocheza mechi 16 na wana pointi 32 huku Yanga wamecheza mechi 15 na wana pointi 31.

Mechi inayofuata ya Simba ni hapo Jumamosi watakapocheza na Azam Uwanja wa Taifa.

RATIBA:

Jumatano Februari 8

Yanga v Mtibwa

Jumamosi Februari 11

Coastal Union v African Lyon

JKT Oljoro v JKT Ruvu

Polisi Dodoma v Villa Squad

Simba v Azam

Toto African v Moro United

Jumapili Februari 12

Kagera Sugar v Mtibwa Sugar

Yanga v Ruvu Shooting

Jumanne Februari 14

Polisi Dodoma v Simba

Yanga v African Lyon

MSIMAMO:

TIMU

P

W

D

L

GF

GA

GD

PTS

1

Simba

16

10

4

2

25

10

15

34

2

Azam

16

9

5

2

18

6

12

32

3

Yanga

15

9

4

2

25

12

13

31

4

JKT Oljoro

16

7

5

4

11

11

0

26

5

Mtibwa Sugar

15

6

4

5

17

14

3

22

6

Kagera Sugar

16

4

8

4

18

16

2

20

7

JKT Ruvu

16

4

8

4

17

18

-1

20

8

Ruvu Shooting

16

3

9

4

14

14

0

18

9

African Lyon

16

4

6

6

15

19

-4

18

10

Coastal Union

15

5

2

9

14

20

-6

17

11

Moro United

16

3

6

7

20

27

-7

15

12

Toto Africa

16

2

8

6

15

21

-6

14

13

Polisi Dodoma

16

2

7

7

11

17

-6

13

14

Villa Squad

16

3

4

9

15

30

-15

13

Kutoa maoni

Tafadhali toa maoni sahihi kwa kutumia lugha ya heshima.


Security code
Onyesha tena

Ingia

Jiandikishe / Ingia

adidas

All Originals 300x250

MATANGAZO

TANGAZA HAPA