Bongo Nyuzi

Azam yaipita Yanga

Jumatatu, 06 Februari 2012 10:22
Chapisha Toleo la kuchapisha

NGASSAAzam FC jana iliifunga JKT Oljoro bao 3-0 huko Uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam na kushika nafasi ya pili katika Ligi Kuu Vodacom na hivyo kuitupa Yanga nafasi ya 3 ingawa wao wamecheza mechi moja zaidi.

Simba, waliocheza mechi 16, wapo nafasi ya 1 wakiwa na pointi 34, Azam ni ya pili kwa mechi 16 na pointi 32 na Yanga ni wa 3 wakiwa wamecheza mechi 15 na wana pointi 31.

Katika mechi hiyo, bao za Azam zilifungwa na Mrisho Ngassa, John Bocco na Babi.

Kati mechi nyingine iliyochezwa jana huko Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba, JKT Ruvu iliilaza Kagera Sugar kwa bao 1-0 kwa bao la Shaibu Nayopa.

MSIMAMO:

TIMU

P

W

D

L

GF

GA

GD

PTS

1

Simba

16

10

4

2

25

10

15

34

2

Azam

16

9

5

2

17

6

11

32

3

Yanga

15

9

4

2

25

12

13

31

4

JKT Oljoro

16

7

5

4

12

12

0

26

5

Mtibwa Sugar

15

6

4

5

17

13

4

22

6

JKT Ruvu

16

4

8

4

18

19

-1

20

7

Kagera Sugar

15

4

7

4

17

15

2

19

8

Ruvu Shooting

14

3

7

4

12

13

-1

16

9

Moro United

15

3

6

6

19

26

-7

15

10

African Lyon

14

3

5

6

11

18

-7

14

11

Coastal Union

15

4

2

9

14

19

-5

14

12

Toto Africa

15

2

7

6

14

19

-5

13

13

Villa Squad

16

3

4

9

16

29

-13

13

14

Polisi Dodoma

14

2

6

6

11

15

-4

12

Kutoa maoni

Tafadhali toa maoni sahihi kwa kutumia lugha ya heshima.


Security code
Onyesha tena

Ingia

Jiandikishe / Ingia

adidas

All Originals 300x250

MATANGAZO

Adidas Predator 300x250

TANGAZA HAPA